- Inaonekana kuna uhasidi wa hali ya juu kati ya mwigizaji maarufu wa filamu ya Nairobi Diaries,Mishi Dora na DJ Pierra Makena
-Hii imedhihiririshwa wazi baada ya Mishi kumrushia Pierra cheche za matusi kwenye ukurasa wake wa Instagram akidai jinsi alivyonenepa na umbo lake kuharibika
TUKO.co.ke iliweza kukuandalia picha za kuvutia za DJ Pierra Makena na mwigizaji maarufu wa filamu ya Nairobi Diaries,Mishi Dora.
Habari Nyingine: Haya ndiyo yatakayojiri iwapo Raila ataapishwa kuwa Rais

Mishi Dora alimshambulia vikali DJ Pierra kwenye mitandao ya kijamii kwa kumrushia cheche za matusi Jumanne Januari 23 akidai jinsi Pierra amenenepa na kuharibu umbo lake.

Habari Nyingine: Uhuru anapaswa kuchagua baraza lake la mawaziri kwa amani- William Ruto asema
TUKO.co.ke ilizuru ukurasa wake wa Instagram na kugundua kwamba,Mishi alikuwa tayari ashauondoa ujumbe huo ila tu mitandao huwa haisahau.
Mish na DJ Pierra ni wamama na wamekuwa wakifanya kila juhudi kupunguza miili yao iliyonenepa baada ya kujifungua.
Habari Nyingine: Mkewe msanii Bahati atoboa siri ya ufanisi katika ndoa yao
Tazama picha zao;





Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka


Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia4Fxg5NmmZqZlJZ6uq2MpKysoJGir7a4yJqlmmWmnriiuMhmoq6gpajCbrnArqSbp12urm65yKKjomWplry1tdmapJploJ6wqa2Ms5hmo6WrwrW1wGaxmmWUn3qxtcSrqZplnpZ6rrXSoaBmnJ%2Bnrm%2B006aj